Mahakama yabariki kifungo cha miaka 30 kwa waliohukumiwa kwa kuiba kaboni ya dhahabu
Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Musoma imebariki adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa Maneno Chanila na Joseph Daud, waliokutwa na hatia ya kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha na kuiba kaboni ya dhahabu yenye thamani ya Sh109 milioni. Kumbukumbu za mahakama zinaonesha kuwa wawili hao na wenzao wanne (si warufani katika rufaa hiyo)…