Wanaume watakiwa kuwashika mkono wake zao wenye maono

Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Mhandisi Zena Said amewataka wanaume kwenye maeneo mbalimbali kuwapa ushirikiano wake zao haswa wenye maono makubwa ya kiuchumi na kijamii. Ametoa kauli hiyo kwenye hafla ya utoaji tuzo za Malkia wa Nguvu zinazoendeshwa na Clouds Media Group zilizofanyika mwishoni mwa wiki huku malkia…

Read More

Tanzania kuzindua nembo ya asali kuvutia soko la kimataifa

Dar es Salaam. Tanzania ipo mbioni kuzindua nembo ya asali zinazozalishwa nchini, ili kuitambulisha bidhaa hiyo muhimu katika soko la kimataifa. Uzinduzi huo mbali ya kuitambulisha asali ya Tanzania katika soko la kimataifa, umetajwa pia kuwa uthibitisho wa ubora wa asali na nta zinazozalishwa hapa nchini. Mpango huo utazinduliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii,…

Read More

Simba Tanga wachangia damu. | Mwanaspoti

WAKATI Simba ikizindua wiki ya tamasha la kila mwaka ‘Simba Day’ leo Jumatano katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Morogoro, mashabiki wa timu hiyo wa mkoani Tanga wanatarajia kuchangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye uhitaji. Akizungumza na Mwanaspoti, Mwenyekiti wa Matawi ya Simba Tanga, Edgar Mdime amesema imekuwa ni desturi yao kila mwaka…

Read More

Mafundi nguo wenye ulemavu wapata dili Sabasaba

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kuona ni kuamini ndivyo unavyoweza kusema kutokana na umahiri unaooneshwa na vijana wenye ulemavu waliohitimu fani ya ushonaji, ubunifu na teknolojia ya nguo kutoka vyuo vya Veta ambao wamepata fursa ya kuwashonea washiriki na watembeleaji wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba. Vijana hao Riziki Ndumba na…

Read More

Ile mishuti ya Ulomi sio ya bahati mbaya

HIVI unayafuatilia mabao anayofunga mshambuliaji wa Mashujaa, David Ulomi? Hadi sasa nyota huyo ana mabao manne na yote yanafanana, licha ya kuyafunga kwa timu mbili tofauti na mwenyewe akifichua mabao hayo hayafungi kwa kubahatisha ila anayafanyia kazi mazoezini. Ulomi alifunga bao la pili kali katika ushindi wa mabao 2-0 iliyopata Mashujaa dhidi ya Pamba Jiji…

Read More

FAMILIA YA MAREHEMU KAFUYE YAMLILIA RAIS SAMIA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Familia ya Marehemu Yahya Msabila Kafuye wa Mbezi Msakuzi, Wilaya ya Ubungo, imeiomba Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kuwasaidia kutatua mgogoro wa ardhi unaodaiwa kudumu kwa takribani miaka 14. Akizungumza na vyombo vya habari, mjane wa marehemu, Pilly Kafuye, alisema familia yao imekuwa ikiishi…

Read More