
Ujenzi Daraja la Jangwani wanukia
Dodoma. Serikali imesema katika mwaka wa fedha wa 2024/25 itaanza utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa ujenzi wa Daraja la Jangwani. Ujenzi huo ni sehemu ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa maendelezo ya Bonde la Mto Msimbazi. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hayo bungeni leo Jumatano Mei 29 2024 alipowasilisha makadirio ya mapato na…