Bonasi ya uaminifu ya milioni 10 Meridianbet kasino

Ni wakati mwingine wa kufurahia bonasi kibao kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, haswa kwa wateja waaminifu ambao wamekuwa na Meridianbet kila siku ambapo sasa watapatiwa mgao wa Milioni 10, Tsh 10,000,000/= kupitia promosheni ya Casino Loyalty Bonus Promosheni ya Casino Loyalty Bonus imeanza Ijumaa, Septemba 9, 2023, na itaendelea mpaka muda wa mwisho utakaotangazwa. Wachezaji…

Read More

SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO KUJIENDESHA KWA TIJA -CPA ASHRAPH

………………  Watumishi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo wametakiwa kufanya mageuzi katika utendaji kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu, Miongozo na taaluma walizonazo ili kufikia malengo ya Taasisi na kuongeza tija. Hayo yamesemwa na Meneja Mkuu wa Shirika hilo, CPA Ashraph Yusuph Abdulkarim wakati alipozungumza kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya ofisi iliyofanyika leo (Aprili…

Read More

Waziri wa maji atii agizo la Rais,afika handeni Tanga

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametii agizo la Rais Samia na kufika eneo la kwamsisi wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Ambapo baada ya kuona video iliyochapishwa na mwandishi wa habari Mbarouk Khan ikionesha wananchi wakiteseka kwa kukosa maji Rais Samia alitoa maagizo kwa Waziri kushughulikia changamoto hiyo haraka sana Baada ya kufika Waziri aweso…

Read More

MIKOA MINNE KUNUFAIKA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akiongoza kikao kazi kinacholenga kuanzisha mradi wa matumizi ya nishati safi ya kupikia shuleni utakaotekelezwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Kigoma, Tabora na Dodoma, kilichofanyika jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa. Mkurugenzi wa…

Read More

Mwaka mmoja tangu shambulio la Oktoba 7 – DW – 07.10.2024

Maadhimisho hayo ya mwaka mmoja tangu yalipotokea mashambulizi  ya Hamas yamefanyika Israel na katika miji mingine duniani. Huko Israel, Rais Isaac Herzog ndiye ameongoza sherehe hizo. Ilipotimia saa kumi na mbili na dakika 29 asubuhi, kulishuhudiwa dakika mmoja ya ukimya ili kuwakumbuka wote waliouawa siku hiyo. Sherehe rasmi zilifanyika kusini mwa Israel katika vitongoji vya  Kibbutz…

Read More

Maandalizi biashara saa 24 Kariakoo yashika kasi

Dar es Salaam. Wakati biashara eneo la Kariakoo, jijini hapa zikitarajiwa kuanza kufanyika kwa saa 24 baadaye mwezi huu, taasisi kadhaa za Serikali zinaendelea na maandalizi kuwezesha jambo hilo kutekelezwa bila usumbufu wowote. Miongoni mwa taasisi hizo ni Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Wakala wa Barabarara Vijijini na Mijini (Tarura) na Mamlaka ya Udhibuti Usafiri…

Read More

Spika Bunge la Uganda apigwa marufuku kukanyaga Marekani

Kampala. Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among ni miongoni mwa vigogo  watano nchini humo walipigwa marufuku kuingia nchini Marekani kwa madai ya kuhusika na ufisadi na uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Matthew Miller leo Mei 30, 2024 imesema, vigogo hao wanatuhumiwa…

Read More

Rayvanny aibua shangwe ufunguzi CHAN 2024

DAKIKA chache kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya wenyeji Tanzania dhidi ya Burkina Faso uliofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rayvanny ameibua shangwe kwa mashabiki. Staa huyo ameingia uwanjani kutumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo akiimba wimbo wa Kitu Kizito aliomshirikisha Misso Misondo na kuibua vaibu kubwa…

Read More