
Kilio mgawanyo fedha za mfuko wa jimbo
Dodoma. Mbunge wa Jang’ombe, Ali Hassan Omar maarufu King ameibua malalamiko kuhusu mgawo wa fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo, akieleza hauna usawa. Ameibua malalamiko hayo jana, Ijumaa Aprili 25, 2025, alipochangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka wa fedha 2025/26. Waziri…