
UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA KAMPUNI ZA SATELITE BEIJING, CHINA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla ameongoza ujumbe wa Tanzania uliojumuisha wataalamu wa mawasiliano kuzuru Kampuni za Satelite za China SATCOM na Space Star Technology Ltd. zilizopo Beijing, China. Ziara hiyo iliyofanyika leo Mei 29, 2024 ilikuwa na lengo la kujifunza na kupata uzoefu kuhusu teknolojia…