
Mbappe wa Azam apelekwa KMC
UONGOZI wa KMC uko katika mazungumzo ya kuipata saini ya winga wa Azam FC, Cheickna Diakite ‘Mbappe’ kwa mkopo wa miezi sita, baada ya nyota huyo kuomba kutolewa kwenda timu nyingine ili akapate nafasi zaidi ya kucheza katika kikosi cha kwanza. Taarifa kutoka ndani ya Azam zililiambia Mwanaspoti, Diakite aliyejiunga na timu hiyo mwanzoni mwa…