Kukwama katikati? Mataifa ya deni ya njama ya ukuaji wa uchumi huku kukiwa na machafuko ya biashara ya ulimwengu – maswala ya ulimwengu

Mkutano wa kiwango cha juu cha nchi zenye kipato cha kati (MICs), uliofanyika tarehe 28 na 29 Aprili, ulihudhuriwa na wawakilishi wakuu kutoka kwa MIC 24, ambazo nyingi zina deni kubwa, na kuwaacha nafasi ndogo ya kutumia kukuza uchumi wao. Tangu 2000, ni nchi 27 tu zilizobadilishwa kutoka mapato ya kati hadi hali ya kipato…

Read More

Simba yatua bodi ya Ligi na barua

SIMBA imefanya tathmini ya ratiba ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Afrika kwa mechi za mwishoni mwa mwezi huu na mwanzoni mwa Desemba na baada ya hapo ikapeleka barua bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) ikiwa na maombi mawili. Ombi la kwanza ambalo Simba imeliomba ni TPLB kuurudisha mchezo dhidi ya Pamba ambao awali ulipangwa…

Read More

ULEGA AAGIZA UCHUNGUZI WATENDAJI BRT4

• Ataka ripoti ya wasimamizi na washauri wote • Akerwa na uzembe wao unaosababisha misongamano • Aeleza jinsi Rais Samia anavyoumia kwa foleni mijini Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kupelekewa taarifa kamili za wasimamizi na mshauri elekezi wa ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) Awamu ya Nne baada ya…

Read More

Airtel Spam Alert-Kataa Matapeli, Kuongeza Usalama wa Wateja dhidi ya Matapeli wa Simu

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akizindua huduma huduma maalum ya kutoa taarifa kuhusu utapeli kupitia teknolojia ya Akili Mnemba, uzinduzi huo umefanyika jijini Dar Es Salaam leo Aprili 28, 2025. Baadhi ya wadau mbalimbali wa mawasiliano waliohudhuria uzinduzi wa huduma huduma maalum ya kutoa taarifa kuhusu utapeli kupitia teknolojia ya Akili…

Read More

Bado Chadema hakujapoa, makada wengine wajivua uanachama

Dar es Salaam. Maji na mafuta yameendelea kujitenga ndani ya Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Chadema) baada ya makundi ya makada na viongozi waandamizi kuendelea na safari ya kutangaza kukihama chama hicho kikuu cha upinzani. Ni maji na mafuta kwa sababu kuna uwiano wa ushawishi na nguvu ya kisiasa waliyonayo kati ya wale wanaotangaza kukihama…

Read More

Yanga haipoi, yaendeleza moto Ligi Kuu

YANGA leo imeendeleza moto katika Ligi Kuu Bara baada ya kuifumua Dodoma Jiji kwa mabao 4-0, huku Prince Dube akiendelea alipoachia tangu alipoinasa ‘code’ ya mabao kwa kufikisha mechi ya nne mfululizo akifikisha mabao sita. Dube alianza kufunga bao la kwanza dhidi yaTP Mazembe wakati aikiipa Yanga sare ya 1-1 ugenini kabla ya kufunga mechi…

Read More

Antisemitism juu ya kuongezeka kati ya vizazi vichache – maswala ya ulimwengu

Melissa Fleming, Katibu Mkuu wa Mawasiliano ya Ulimwenguni, anashughulikia Sherehe ya Ukumbusho wa Umoja wa Mataifa ya Umoja wa Mataifa: Ukumbusho wa Holocaust kwa Heshima na Haki za Binadamu kwa kuzingatia Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho katika Kumbukumbu ya Wahasiriwa wa Holocaust. Mikopo: Picha ya UN/Manuel Elías na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Jumanne, Januari…

Read More

Bilioni 743 zatolewa kwa wanafunzi wa elimu ya juu

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa mwaka 2023/2024 hadi kufikia Juni, 2024 jumla ya wanafunzi 224,056 wamepatiwa mikopo yenye jumla ya Sh 743.2 bilioni sawa na asilimia 94.6 ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mikopo hiyo ni kwa ngazi ya stashahada, shahada ya…

Read More