
Tanzania yawahakikishia mabalozi uthabiti kisiasa
Dar es Salaam. Tanzania imewahakikishia mabalozi wa mataifa ya kigeni nchini kuhusu uthabiti wa hali ya kisiasa, ufanisi wa mfumo wake wa kodi na uwekezaji, ikisema Serikali inafanya juhudi kubwa kuboresha hali hiyo. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amesema hayo leo Novemba 13, 2024 katika kipindi ambacho…