
Moto wa kuipa Azam ubingwa 2024/25
Msimu wa Ligi Kuu Bara 2023/24, umekamilika hapo kesho jana kwa timu zote 16 kushuka kwenye madimba nane tofauti katika muda mmoja wa saa kumi alasiri. Tayari bingwa Yanga alishapatikana mapema, na jana ligi ikamalizia kwa msisimko mkubwa sana kwa mbio za kuwania nafasi ya pili iliyotwaliwa na Azam FC na kuiacha Simba ikishika nafasi…