
TANZANIA ,AFRIKA KUSINI KUIMARISHA UHUSIANO KATIKA NYANJA ZA SAYANSI,TEKNOLOJIA NA UBUNIFU
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekutana na Waziri wa Elimu ya Juu Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Afrika Kusini Mhe. Dkt. Blade Nzimande ambapo wamejadili namna ya kuimarisha uhusiano katika nyanja za Sayansi, Teknolojia na Ubunifu. Waziri Mkenda amemueleza kuwa Tanzania inajivunia uhusiano mzuri na wa kihistoria na Afrika Kusini katika…