WIZARA YA UJENZI YAANIKA VIPAUMBELE NANE

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele nane vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25. Akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara na taasisi zake kwa mwaka 2024/25, Bashungwa amesema bajeti itazingatia kufanya matengenezo ya miundombinu ya barabara na madaraja iliyoharibiwa na mvua za El Nino na Kimbunga Hidaya. Bashungwa amesema…

Read More

Serikali kushirikiana na sekta binafsi utekelezaji wa miradi.

Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni jijini Dodoma leo, Mei 29, 2024 Amesema ni katika kuipunguzia Serikali gharama kubwa za utekelezaji wa miradi…

Read More

VIVUKO KIGAMBONI:  Mfupa kwa sekta binafsi kuwekeza-3

Dar es Salaam. Licha ya dhamira ya Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika utoaji wa huduma ya vivuko kati ya Kigamboni na Magogoni, huenda mpango huo ukabaki kuwa ndoto isiyotimia kwa miaka kadhaa. Hilo linatokana na mazingira ambayo si rafiki kwa sekta binafsi kutoa huduma katika eneo hilo. Nia ya Serikali kushirikiana na sekta binafsi…

Read More

Briteni’s Got Talent ililazimika kusitisha onyesho huku shamrashamra za umati zikiwazuia majaji.

Britain’s ot Talent ilikumbana na usumbufu usiotarajiwa wakati wa matangazo yake ya moja kwa moja huku muhtasari wa majaji ulipopokelewa na shangwe kutoka kwa umati ambao ulizima sauti zao. Onyesho maarufu la vipaji la Uingereza, Britain’s Got Talent (BGT), ambalo linajulikana kwa kugundua na kukuza vitendo mbalimbali vyenye vipaji vya kipekee, lilipata usumbufu usiotarajiwa wakati…

Read More

Bocco awaaga Simba, mastaa watia neno

BAADA ya kudumu misimu saba ndani ya Simba, nahodha wa timu hiyo, John Bocco amewaaga mashabiki na mastaa wenzake wa timu hiyo kwa kuweka wazi kuwa huu ndiyo mwisho wake wa kuonekana ndani ya kikosi hicho akicheza. Bocco kupitia mtandao wake wa kijamii ameandika: “First and Last thanks Lion” akiwa na maana kwamba ni mwanzo…

Read More

Kikosi bora cha Mwanaspoti Ligi Kuu Bara 2023-24

PAZIA la msimu wa 2023/2024 wa Ligi Kuu Bara limehitimishwa rasmi baada ya vita ya vuta nikuvute huku kila timu ikivuna ilichopanda. Yanga imetwaa ubingwa wa tatu mfululizo, Azam imemaliza ya pili na kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, huku Simba iliyomaliza ya tatu na Coastal Union (4) zitacheza Kombe la Shirikisho Afrika, ambalo…

Read More