Kocha C.B.E aanza vizingizio | Mwanaspoti

MABINGWA watetezi wa michuano ya CECAFA kwa wanawake, CBE FC ilianza kwa kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda huku kocha wa timu hiyo, Heye Gizaw akileta visingizio. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Ethiopia imepangwa kundi B na Rayon Sports ambayo iko kileleni kwa kundi hilo na Top Girls ambayo hadi sasa…

Read More

Mauaji Kanisani-4: Jaji alivyochambua ushahidi, akatamka ‘Katekista atanyogwa hadi kufa’

Njombe. Katika sehemu ya kwanza hadi ya tatu ya simulizi ya mauaji ya Katibu wa Kigango cha Makambako Parokia ya Makambano, Nickson Myamba, tumeona namna ushahidi wa Jamhuri ulivyokuwa na mshitakiwa Daniel Mwalango alivyojitetea. Katika simulizi hii ya mwisho, tunawaletea namna Jaji Kalunde aliyesikiliza kesi hiyo alivyochambua ushahidi wa pande zote mbili na kueleza kwanini…

Read More

Wafanyabiashara walalama kupigwa danadana maeneo yao ya biashara

Tabora. Baadhi ya wafanyabiashara wa mbogamboga wanaofanya shughuli zao kwenye soko la Machinga Tabora mjini, wamelalamikia ugawaji wa maeneo bila kufuata utaratibu  baada ya kufanyiwa maboresho. Wanadai maofisa kutoka halmashauri wameyagawa maeneo kwa watu ambao hawakuwepo kwenye mpango huo, huku wao kila siku wanaambiwa wasubiri.Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili Agosti 18, 2024, Mwasi Juma anayefanya…

Read More

Aziz Andabwile afichua mipango Yanga

Kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile amesema wanafahamu kilichowahi kuwakuta mkoani Mbeya, Yanga alipopoteza mechi zake dhidi ya Ihefu kwa misimu miwili mfululizo, hivyo watakuwa makini na tahadhari kubwa kufikia malengo. Kwenye michezo miwili ya ugenini mkoani Mbeya, Yanga ilichapwa mabao 2-1 msimu wa  2022/23 na 2023/23 na imekuwa ni mechi ngumu kwa mabingwa hao watetezi…

Read More

Aussems: Tatizo Simba ni lilelile

BAADA ya Abdelhak Bechikha kuachana na Simba kwa kile kilichotajwa ana matatizo ya kifamilia, kocha wa zamani wa timu hiyo, Patrick Aussems amesema tatizo la Simba ni lile lile. Aussems aliyeinoa Simba kuanzia Julai 2018 hadi Novemba 2019 amesema tatizo la Simba kutodumu na makocha wengi ni viongozi kutokuwa waadilifu jambo ambalo alilolisema wakati anaondoka….

Read More

MAJALIWA AAGIZA UONGEZAJI THAMANI MAZAO YA MISITU UFANYIKE NCHINI

▪️Asema Tanzania inayo teknolojia ya uchakataji mazao ya misitu.▪️Aisistiza Wizara kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji wa mazao ya misitu. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa uzalishaji mazao ya misitu kuhakikisha wanaongeza thamani ya mazao hayo hapa nchini badala ya kusafirisha malighafi hizo nje ya nchi. Amesema kuwa Tanzania kwa sasa inayo…

Read More

Mamia wamuaga Sauli, aacha watoto 16

Chunya. Mamia ya wananchi, wakiwamo viongozi wa Serikali na vyama vya siasa, wamejitokeza kuuga mwili wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabila maarufu kwa jina la Sauli (46), aliyefariki dunia kwa ajili ya gari Agosti 4, 2024. Sauli ambaye ameacha wake watatu na watoto 16, alifariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita baada…

Read More

RAIS SAMIA AMEKATA KIU MRADI WA MAJI MAKONDE, MTWARA

Na Shilatu, E.J Wananchi wa wilaya ya Newala, Tandahimba na Mtwara hawatakaa wamsahau Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na mradi wa maji wa Makonde ambapo Serikali kwa kushirikiana na Shirika la CI Imate Resilient Infrastructure Development Facility (CRIDF) wameamua kuboresha uzalishaji na kuboresha huduma ya maji ya Makonde…

Read More