
‘TANROADS INAHAKIKISHA INAWEKA MIUNDOMBINU BORA KWA WATUMIAJI’ -MTENDAJI MKUU MHA. BESTA
Arusha, 24 Oktoba, 2024 Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) iimeeleza itaendelea kufanya kazi kwa bidii kila siku ili kuhakikisha miundombinu yake ya barabara na madaraja inakuwa bora na fursa kwa watumiaji wa ndani na nchi jirani za Jumuia ya Afrika Mashariki na Jumuia ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Kauli hiyo imetolewa leo na Mtendaji…