
Maboresha ya bandari yachochea biashara ya kemikali ndani, nje
Dar es Salaam. Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema maboresho ya miundombinu ya bandari za Dar es Salaam na Tanga yamechangia ongezeko la biashara ya kemikali nchini, hasa zile za kimkakati zinazotumika katika uchimbaji na uchenjuaji madini ndani na nje ya nchi. Sababu nyingine ya ongezeko hilo imetajwa kuwa ni mahusiano…