
FCC, TRADEMARK AFRICA WASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU WA MASHIRIKIANO
TUME ya Ushindani (FCC) na TradeMark Africa (TMA) wamesaini mkataba wamashirikiano wa miaka mitatu katika kuunga mkono utekelezaji wa shughuli za tume hiyo yaani (Partner Support Agreement -PSA) katika kulinda na kushaghisha ushindani katika kulinda mlaji na kudhibiti biashara bandia. Tukio hilo la mkataba wa awali umegharimu kiasi cha Tsh. 1.56 Bilioni, limefanyika…