Zitto azindua kampeni akiahidi kurejesha heshima ya Kigoma

Kigoma/Dar. Uwanja wa Mwami Ruyagwa, mjini Kigoma umegeuka bahari ya zambarau, umati uliovaa vazi la rangi hiyo ulipofika kushuhudia uzinduzi wa kampeni za mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe. Zitto, kiongozi mstaafu wa chama hicho amesema leo Septemba 6, 2025 kuwa safari yake ya kisiasa iliyoanza mwaka 2015 na kukwama 2020 sasa itaendelea kwa nguvu…

Read More

Trump aiomba mahakama kusitisha marufuku dhidi ya TikTok – DW – 28.12.2024

Rais mteule Donald Trump ameirai Mahakama Kuu ya Marekani kusitisha utekelezaji wa sheria inayoweza kuipiga marufuku programu maarufu ya mitandao ya kijamii, TikTok, au kulazimisha iuzwe, akisema anapaswa kupewa muda baada ya kuingia madarakani ili kutafuta “suluhisho la kisiasa” kwa suala hilo. Mahakama inatarajiwa kusikiliza hoja za kesi hiyo tarehe 10 Januari. Sheria hiyo inawataka wamiliki wa TikTok…

Read More

Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi wa AAL, Bw David Grolig amesema kuwa ndege moja kati ya hizo tatu imetua kwa mara ya kwanza kwenye uwanja Ndege wa Kimataifa…

Read More

AICC KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZAKE

Na Mwandishi wetu KITUO cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC)kimesema kuwa kinaendelea kuboresha kumbi zake mbalimbali huku kikiwakaribisha wadau wa kimataifa na kitaifa kufanya shughuli zao za mikutano katika kumbi zao kutokana na madhari uwepo wa madhari nzuri. Akizungumza leo Septemba 26,2025 wakati akiongea na waandishi wa habari katika maonesho ya 22 ya wahandisi yanayoendelea…

Read More

EABC na TCCIA wakubaliana kukuza ujasiriamali kwa vijana Tanzania

Tanzania Chamber Of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) na East Africa Business Consortium (EABC) leotarehe 18 Novemba 2024, wameingia kwenye makubaliano yaushirikiano (MOU) ili kukuza Ujasiriamali nchini Tanzania hususani kwa vijana. TCCIA ikiwa ni taasisi yenye zaidi miaka 30 Nchini Tanzania inafanya kazi zake kwenye mikoa 26 na wilaya 150 NchiniTanzania. TCCIA imekua mbia mkubwa…

Read More