Tabora United yatangulia nusu fainali kwa kishindo
USHINDI wa mabao 4-0 ilioupata Tabora United dhidi ya Eagle FC, umeifanya timu hiyo kufuzu nusu fainali ya mashindano ya Tanzanite Pre-Season International. Tabora United imetinga nusu fainali kufuatia kukusanya pointi sita kwenye Kundi A lenye timu tatu baada ya kushinda mechi zote mbili. Katika mchezo uliofanyika leo Septemba 2, 2025 kwenye Uwanja wa Tanzanite…