Mahakama Kuu yakubali pingamizi la Lissu
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekubaliana na pingamizi la Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu na kukataa kupokea flash disk na memory Card kwa maelezo kuwa shahidi wa tatu wa upande wa mashtaka, Mkaguzi wa Polisi, Samwel Kaaya(39) sio mtaalamu wa picha za mjongeo (video) na…