ATE, TUCTA, VETA Kuimarisha ujuzi Wahitimu wa Mafunzo ya Ufundi

Mtendaji Mkuu wa Chama  cha waajiri Tanzania (ATE) Suzanne Ndomba Doran na Katibu Mkuu wa Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Herny Nkunda wakisaini mikataba na  mikataba waliyosaini kwaajili ya kuimarisha Mafunzo ya Ufundi. Mtendaji Mkuu wa Chama  cha waajiri Tanzania (ATE) Suzanne Ndomba Doran akizungumza wakati wa utiaji wa saini ya kutekeleza makubaliano ya Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Shirikisho la wenye viwanda (CTI), Vyuo vya…

Read More

Matampi amfunika Diarra ‘clean sheet’ Ligi Kuu

MKALI wa kulinda nyavu ‘clean sheet’ katika Ligi Kuu Bara msimu huu ameibuka kuwa kipa Ley Matampi wa Coastal Union baada ya kumaliza akiwa nazo 15 ukiwa ni msimu wake wa kwanza katika mashindano hayo. Matampi aliyempiku Djigui Diarra wa Yanga ambaye huu ni msimu wake wa tatu, tayari ameshinda tuzo hiyo misimu miwili mfululizo akimshusha…

Read More

Biashara hewa ukaa inavyobadili maisha wakazi wa Tanganyika, Waziri Jafo aguswa

Katavi. Wakazi wa Kijiji cha Kapanga katika Wilayani Tanganyika mkoani Katavi, wamesema biashara ya hewa ukaa inayoendelea kutekelezwa kiwilaya, inazidi kuwanufaisha baada ya fedha zake kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo Wilaya hiyo ni miongoni mwa zinazonufaika na utunzaji wa mazingira kwa kufanya biashara ya hewa ukaa,  na kwa mwaka  inapata zaidi ya Sh14 bilioni zinazosaidia…

Read More

UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Naupenda uzee wa Saido

UZEE wa Saido Ntibazonkiza ni ‘uzee wa busara’. Utu uzima dawa. Ni ile maana halisi ya hakuna kijiji kinachokosa wazee. Ligi yetu bado ina maajabu kidogo. Wachezaji wazee wanacheza vizuri na wanafunga sana kuliko vijana. Ni kweli soka letu linakua na tumeanza kupata wachezaji wengi bora licha ya kutoondoa ukweli, umri sio kigezo cha kumzuia…

Read More

TBA YASHIRIKI MAONESHO YA SEKTA YA UJENZI BUNGENI DODOMA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw Ludovick Nduhiye,akisalimiana na watumishi wa TBA kwenye Banda la TBA  katika Maonesho ya Sekta ya Ujenzi kuelekea Bajeti ya Wizara hiyo yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma  ambayo yanashirikisha Taasisi zote zilizoko chini ya Wizara ya Ujenzi. Na Alex Sonna-DODOMA WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA)…

Read More

Jude Bellingham Anatania kuhusu Kushinda Ballon d’Or na Mwenzake wa Real Madrid Vinicius jr.

  Jude Bellingham, mwanasoka mchanga mwenye kipawa anayechezea Borussia Dortmund, hivi majuzi aligonga vichwa vya habari alipotania kuhusu kushinda tuzo ya kifahari ya Ballon d’Or pamoja na mchezaji mwenzake wa Real Madrid, Vinicius Junior. Ballon d’Or ni tuzo ya kila mwaka ya soka inayotolewa na Ufaransa Football. Imetolewa tangu 1956 na inachukuliwa kuwa moja ya…

Read More

VIVUKO KIGAMBONI:  Mfupa kwa sekta binafsi kuwekeza

Dar es Salaam. Licha ya dhamira ya Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika utoaji wa huduma ya vivuko kati ya Kigamboni na Magogoni, huenda mpango huo ukabaki kuwa ndoto isiyotimia kwa miaka kadhaa. Hilo linatokana na mazingira ambayo si rafiki kwa sekta binafsi kutoa huduma katika eneo hilo. Nia ya Serikali kushirikiana na sekta binafsi…

Read More

BARRICK YAFANIKISHA KONGAMANO YA WANAFUNZI VYUO VYA ELIMU YA JUU MKOANI MWANZA

KAMPUNI ya Barrick nchini imedhamini kongamano la Vyuo vya elimu ya juu mkoani Mwanza lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania na kufanyika katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ambapo wanafunzi walioshiriki walipata fursa ya kujengewa uwezo kuhusiana na masuala ya kujiamini,jinsi ya kujiajiri na kupata ajira sambamba na kutambua fursa zilizopo zinatozotokana na mabadiliko ya…

Read More