
DPP awafutia kesi vigogo wa Jiji la Dar, awafungulia nyingine
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) amewafutia kesi ya uhujumu uchumi, watumishi 16 wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kisha kuwafungulia nyingine inayofanana na mashtaka kama ya awali. Washtakiwa hao wamefutiwa mashtaka yao 142 waliyokuwa wanakabiliwa yakiwemo ya kuisababishia hasara Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kiasi cha Sh8.9…