Mazito yabainika viwanja 14 vya Ligi Kuu, Kwa Mkapa…

UBORA wa viwanja una nafasi kubwa ya kuzalisha ligi, wachezaji na timu bora na ni jambo lililo wazi hakuna nchi yoyote iliyopiga hatua kisoka ambayo haina viwanja. Katika kuonyesha umuhimu wa uwanja katika mchezo wa soka, umewekwa kama sheria namba moja kati ya 17 za soka na hakujawahi kuwa na mabadiliko yaliyowahi kuifanya iwe tofauti…

Read More

Trafiki 10 matatani madai ya wizi wa kimfumo

Dar es Salaam. Wizi kwa njia ya mifumo unaendelea kuota mizizi serikalini, safari hii ukiwahusisha baadhi ya askari wa usalama barabarani. Kutokana na hilo, wanazuoni wameeleza namna unavyofanyika wakipendekeza mbinu za kuudhibiti. Katika Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, zaidi ya askari 10 kutoka mikoa ya Iringa, Pwani na Kilimanjaro wanadaiwa kuingia matatani kwa…

Read More

NACTVET YAFUNGUA DIRISHA LA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) Dkt.Adolf Rutayuga akizungumza na Waandishi habari (hawapo) pichani kuhusiana na kufunguliwa kwa dirisha la udahili wa kujiunga na Astashada na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2024/2025. *Yataka waombaji kuweka taarifa sahihi kuepusha usumbufu Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Tanga ,BARAZA…

Read More

Naupenda uzee wa Saido | Mwanaspoti

UZEE wa Saido Ntibazonkiza ni ‘uzee wa busara’. Utu uzima dawa. Ni ile maana halisi ya hakuna kijiji kinachokosa wazee. Ligi yetu bado ina maajabu kidogo. Wachezaji wazee wanacheza vizuri na wanafunga sana kuliko vijana. Ni kweli soka letu linakua na tumeanza kupata wachezaji wengi bora licha ya kutoondoa ukweli, umri sio kigezo cha kumzuia…

Read More

Wakabidhiwa bweni la wanafunzi 240 wa kike

Dar es Salaam. Takriaban wanafunzi 240 wanawake katika Shule ya Sekondari Namanga, wameepukana na safari ya kutoka nyumbani kwenda shule, badala yake wataanza kuishi bweni. Hatua hiyo ni baada ya shule hiyo kukabidhiwa jengo la bweni litakalolaza wanafunzi 240, kutoka kwa Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Huduma za Kisheria (LSF). Akizungumza katika hafla ya kukabidhi…

Read More

LALJI FOUNDATION YAFADHILI KAMBI YA MADAKTARI BINGWA KASULU

Wananchi na wakazi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamejitokeza kwa wingi katika hospitali ya wilaya ya Kasulu kupata huduma za kibingwa kutoka kwa madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kigoma Maweni, ambao wamepiga kambi ya siku nne mfululizo. Wakizungumza wananchi hao wameiomba serikali na Taasisi binafsi kuwa na…

Read More