
Serikali yaunda tume kuchunguza maghorofa Kariakoo
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Serikali imeunda tume ya watu 19 kufanya uchunguzi wa maghorofa yote yaliyoko katika Soko la Kariakoo. Kuundwa kwa tume hiyo kunafuatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa tatu katika Soko la Kariakoo Novemba 16,2024. Juzi wakati akihutubia wananchi Rais Samia alimwekeleza Waziri…