
DKT. NCHEMBA AIOMBA INDONESIA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUBORESHA MIFUMO YA KODI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akieleza umuhimu wa ushirikiano katika maendeleo wakati wa mkutano na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Tri Yogo Jatmiko (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Waziri wa Fedha Treasury Square, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati) akiwa na ujumbe kutoka Wizara…