Chama tawala Japan huenda kikaangushwa kwenye uchaguzi – DW – 27.10.2024

Wajapan wamepiga kura katika uchaguzi wenye ushindani mkali ambao haujawahi kuonekana kwa miaka,huku waziri mkuu mpya Shigeru Ishiba na chama chake chenye nguvu cha  Liberal Democratic kikikabiliwa na uwezekano wa kupata matokeo mabaya kabisa tangu mwaka 2009. Uchunguzi wa maoni nchini humo unaonesha chama hicho cha kihafidhina  pamoja na washirika wake katika muungano wanakabiliwa na…

Read More

Wakimbizi wa Bhutanese waliowafukuza watu wa Bhutanese wanalia – ‘nchi ili kuita nyumbani’ – Maswala ya Ulimwenguni

Deportee kutoka Merika, Aasis Subedi, na baba yake, Narayan Kumar Subedi. Mikopo: Diwash Gahatraj/IPS na diwash gahatraj (Jhapa, Nepal) Ijumaa, Mei 16, 2025 Huduma ya waandishi wa habari JHAPA, Nepal, Mei 16 (IPS) – Ameketi katika kibanda chake kidogo katika kambi ya wakimbizi ya Beldangi wilayani Jhapa, Nepal, Narayan Kumar Subedi anahisi kutuliza kwamba mtoto…

Read More

Ripoti ya jeraha la Dube yashtua

MASHABIKI wa soka kwa sasa wanahesabu siku kabla ya kushuhudia pambano la Dabi ya Kariakoo lililopangwa kupigwa Juni 25 baada ya kuahirishwa mara mbili Machi 8 na Juni 15, kuna taarifa ambayo huenda isiwe nzuri kwa mashabiki wa Yanga. Timu hizo zitavaana Juni 25 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika pambano hilo la marudiano la…

Read More

Mvutano wa Houthi-Israeli, kesi za kipindupindu za Sudani zinaongezeka, mashambulio mabaya nchini Ukraine-Maswala ya Ulimwenguni

Mgomo huu ulitokea wakati UNISU YA UN ya kuunga mkono Mkataba wa Hudaydah – Ilianzishwa mnamo 2018 kusaidia kusitisha mapigano kati ya Serikali ya Yemen na Houthis – ilikuwa doria katika maeneo ya sehemu za kaskazini za bandari. Katibu Mkuu pia alionyesha wasiwasi mkubwa juu ya kombora linaloendelea na mgomo wa drone uliofanywa na Houthis…

Read More

Rais Samia atekeleza ahadi kwa wakulima wa nazi

Mtama. Rais Samia Suluhu Hassan ametekeleza ahadi yake ya kugawa miche 500,000 ya minazi kwa wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika miche hiyo, Lindi pekee imepokea miche 60,000. Akizungumza wakati wa kutoa mafunzo kwa maofisa kilimo kutoka wilaya sita za Mkoa wa Lindi leo Jumanne Desemba 31, 2024, Meneja wa Kituo cha Utafiti…

Read More

Mama, mtoto wajeruhiwa mahari ikitajwa

Rorya. Kuishi na mwanamke kwa takriban miaka minne bila kufunga ndoa kunadaiwa kuwa chanzo cha mtafaruku mkubwa wa kifamilia wilayani Rorya, mkoani Mara, hali iliyosababisha mwanamke mmoja na mtoto wake wa mwaka mmoja kujeruhiwa vibaya kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali. Night Mchama (27) na mwanawe kwa sasa wamelazwa katika Hospitali ya Kanisa la…

Read More

CHANGAMOTO YA ARDHI NA TEMBO KARAGWE, ZATUA KWA NCHIMBI

-Azitolea maelekezo, -Amshukuru Waziri Mkuu kumuagiza Naibu Waziri haraka masuala ya NIDA Kagera Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amemuelekeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki kuifanyia kazi na kupata ufumbuzi wa changamoto ya wanyama waharibifu wanaovamia makazi ya watu, kuharibu mazao na kutishia uhai wa binadamu, Wilaya ya…

Read More

BoT YATAFITI UANZISHWAJI WA SARAFU ZA KIDIJITALI

  Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.  Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa sasa inaendelea na hatua ya utafiti wa uanzishwaji wa matumizi ya Sarafu za Kidijitali za Benki Kuu (Central Bank Digital Currency) hapa nchini. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akijibu…

Read More