
SPIKA TULIA AIPA KONGOLE TEMESA
Na. Alfred Mgweno (Dodoma) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson ametoa pongezi kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kwa kuendelea kufanya maboresho katika utoaji wa huduma zake upande wa karakana ambapo moja ya maboresho makubwa aliyoyashuhudia ni uanzishwaji wa karakana inayotembea ambayo inatoa huduma mahala…