Kiasi gani cha uwekezaji chenye tija?

Watu wengi na hasa wasomaji wa gazeti hili  wamekuwa na uelewa wa mambo kadhaa yanayohusu fedha na uwekezaji. Makala iliyopita iliangazia ni namna gani unavyoweza kukadiria kiasi cha akiba. Kama vile mkulima anavyoweza kukadiria kiasi cha ardhi alime ili apate mavuno anayotarajia kwa msimu wa kilimo, swali la msingi kwenye uwekezaji ni kuwa ni uwekeze…

Read More

Mwili wa Ulomi wakutwa mochwari Mwananyamala

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam. Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11 Desemba 2024. Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi…

Read More

Mingange apata mrithi Chama la Wana

KLABU ya Stand United ‘Chama la Wana’ ya Shinyanga iko hatua za mwisho za kumalizana na Kocha wa Fountain Gate Princess, Juma Masoud ili achukue nafasi iliyoachwa wazi na Meja Mstaafu Abdul Mingange. Mingange aliyeanza msimu huu na Stand iliyopo Ligi ya Championship akiiongoza katika mechi 12 na kushinda saba, sare mbili na kupoteza tatu…

Read More

Mtanzania aoga minoti CAF | Mwanaspoti

LICHA ya FC Masar anayoichezea Winga Mtanzania, Hasnath Ubamba kumaliza nafasi ya tatu Ligi ya Mabingwa kwa wanawake, lakini nyota huyo ameondoka na medali na minoti. Mchezo huo ulitamatika dakika 90 kwa sare ya bila kufungana na Masar kushinda kwa mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Edo Queens. Ligi hiyo ilishirikisha timu nane kutoka kanda…

Read More

Mambo matano ya Amaan Complex

UWANJA wa New Amaan Complex uliopo Unguja, Zanzibar, wenye uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 15,000, bado upo kwenye maboresho. Uwanja huo ambao umeipa heshima Yanga kwa kutetea ubingwa wao wa Kombe la Shirikisho (FA) kwa kuifunga Azam penalti 6-5, umekuwa wa kisasa zaidi tofauti na hapo awali. Mwaka 1970 uwanja huu ndiyo ulijengwa na…

Read More

Watendaji wa Uchaguzi waaswa kuishi kwenye viapo vyao.

Wito huo umetolewa na Mratibu wa Mkoa wa Mafunzo Ndg. Tumaini Ng’unga kwa Niaba ya Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe.Magdalena Rwebangira wakati akifunga mafunzo ya siku tatu kwa Watendaji ngazi ya Jimbo ambapo amewasisitiza kuwa endapo watakiuka viapo hivyo watakuwa wamevunja sheria na watawajibika kwa kutenda kosa hilo. Aidha Ndg. Ng’unga…

Read More