
Simba yamnyatia beki wa Yanga
SIMBA imeingia anga za Azam FC, kuwania saini ya beki wa Yanga, Kibwana Shomari anayemaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na bado klabu yake haijafikia mwafaka naye. Azam FC ndio ilikuwa ya kwanza kumpelekea ofa mchezaji huyo, lakini baada ya Mwanaspoti kuchapisha taarifa hizo, Simba ikaamua kutupa ndoano na siyo mara ya kwanza kumhitaji…