Auawa kisa ushabiki wa dabi ya Simba, Yanga Songwe

Songwe. Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamtafuta Evacery Mwaweza mkazi wa Kitongoji cha Ululu kiijiji cha Idiwili kata ya Idiwili wilayani Mbozi mkoani Songwe kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Zabroni Mwambogolo (28) mkazi wa kitongoji hicho wakati wakiangalia mpira wa Simba na Yanga. Akizungumzia tukio hilo leo Jumatano Septemba 17,2025 Kamanda wa Polisi Mkoa…

Read More

Tanzania imara mbio za kufuzu Kombe la Dunia

TIMU ya taifa ya vijana ya Kriketi imeanza vyema mbio za kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa vijana walio chini ya miaka 19 kwa Divisheni ya Pili baada ushindi mnono wa wiketi 6 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa ufunguzi uliochezwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Dar Gymkhana, jijini Dar es Salaam. Ni timu…

Read More

KATIBU MKUU FATMA RAJAB ATAKA VIJANA NCHINI KUWA WAZALENDO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Fatma Hamad Rajab amewata vijana nchini kuwa wazalendo, wenye maadili mazuri na kujituma ili kuchochea maendeleo ya Taifa. Aidha, amesema vijana ni nguzo muhimu katika ukuaji wa maendeleo ya Taifa, hivyo amewahimiza kuendelea kudumisha Amani, Mshikamano na kuwa na umoja. Katibu Mkuu Fatma Hamad…

Read More

Miaka ya Mazingira Kusafisha Mbele Kufuatia Ripoti Mpya juu ya Mgodi wa Bougainville ulioachwa – Maswala ya Ulimwenguni

Wamiliki wa ardhi na jamii wanaendelea kuishi na athari mbaya za mazingira za mgodi wa shaba wa Derelict Panguna, ambao haukuwahi kutengwa, katika milima ya Kisiwa cha Bougainville. Mkoa wa uhuru wa Bougainville, PNG. Mikopo: HRLC na Catherine Wilson (London) Jumatatu, Machi 17, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LONDON, Mar 17 (IPS) – Jamii…

Read More

Pacome: Nipo fiti, Naumia sana kutocheza

Mashabiki wa soka nchini wamemisi maufundi ya kiungo wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua aliyekuwa majeruhi, lakini mwenyewe amefunguka kupona na sasa yupo tayari kurejea uwanjani kuendelea kuipambania timu na kutoa burudani. Pacome aliumia Machi 17, mwaka huu kwenye mechi ya ligi dhidi ya Azam iliyopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na timu yake ikipoteza…

Read More

Twiga Stars siyo mbaya, tujipange upya

TIMU yetu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imeshindwa kufua dafu katika Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024 zinazoendelea huko Morocco. Ilianza kwa kufungwa bao 1-0 na Mali kisha ikatoka sare ya bao 1-1 na Afrika Kusini na mchezo wa mwisho ikafungwa mabao 4-1 na Ghana na hivyo ikaumaliza mwendo ikiwa mkiani…

Read More

Simba robo fainali CAF hii hapa, andaeni suti

SIMBA jana usiku ilifanya makubwa huko Tunisia ikiipasua CS Sfaxien kwa bao 1-0 la kiungo Jean Charles Ahoua, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids akianza mapema kuisoma Bravos do Maquis ya Angola watakayovaana nayo wikiendi hii, akilenga kufuzu robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika akiwa ugenini Angola huku akiwa na mechi moja…

Read More