
Makonda ambana meneja Ruwasa Monduli
Arusha. Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa), wilayani Monduli, Neville Msaki amejikuta kwenye wakati mgumu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya kujikuta akishindwa kujibu maswali kwa ufasaha na hatimaye kuomba radhi. Tukio hilo lililitokea jana Jumatatu Mei 28,2024 wakati mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani humo, mwananchi…