CHOMBO CHA KUSIMAMIA MADALALI KINAUNDWA NDEJEMBI

…………,….. Serikali kupitia wizara ya  Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi imefanikiwa kuanzisha chombo cha kusimamia madalali ili kuepuka migogoro kwa wananchi . Haya yameelezwa  na waziri wa Ardhi nyumba maendeleo ya makazi Deogratious Ndejembi wakati wakizungumza na waandishi wahabari  leo 23 mei 2025 jijini Dodoma akieleza mafanikio ya sekta hiyo kwa kipindi cha miaka…

Read More

Balozi Kombo: Diaspora leteni fursa nyumbani, Serikali itawaunga mkono

Dar es Salaam. Serikali imewahimiza Watanzania waishio ughaibuni kwenye mataifa mbalimbali kuchangamkia fursa zilizoko kwenye maeneo yao na kwamba, Serikali itawaunga mkono pale inapohitajika. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo Ijumaa Machi 14, 2025 wakati akifungua mafunzo ya ujasiriamali na uendeshaji wa biashara ya…

Read More

Mechi za UEFA Kukupatia Mkwanja Leo

LIGI ya Mabingwa Ulaya hatua ya Robo Fainali mechi za mkondo wa kwanza kuendelea ambapo tayari wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wakikuekea odds za kibabe. Ingia na ubashiri sasa. Mechi kali ambayo inatolewa macho na watu wengi ni hii Arsenal dhidi ya Real Madrid mabingwa mara nyingi wa michuano hii, wakichukua Kombe hili mara 15….

Read More

VIVUKO KIGAMBONI:  Mfupa kwa sekta binafsi kuwekeza-3

Dar es Salaam. Licha ya dhamira ya Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika utoaji wa huduma ya vivuko kati ya Kigamboni na Magogoni, huenda mpango huo ukabaki kuwa ndoto isiyotimia kwa miaka kadhaa. Hilo linatokana na mazingira ambayo si rafiki kwa sekta binafsi kutoa huduma katika eneo hilo. Nia ya Serikali kushirikiana na sekta binafsi…

Read More

‘Serikali itaendelea kusimamia, kukuza uadilifu wa maadili’- Dkt Biteko

📌Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili 📌Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau 📌Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii kuhusu maadili 📌Asisitiza maadili kupewa kipaumbele katika Mtaala wa Elimu Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali itaendelea kusimamia na kukuza uadilifu wa maadili kama…

Read More