
VIDEO: Mahakama ilivyosikiliza maelezo anayedaiwa kumua mumewe
Moshi. Upande wa mashitaka, katika kesi ya mauaji yanayomkabili mkazi wa Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Beatrice Elias Kway (36) anayedaiwa kumuua mumewe nyumbani kwa mzazi mwenzake, Ephagro Michael Msele (43) umeeleza hatua kwa hatua mauaji hayo yalivyotokea. Mfanyabiashara huyo maarufu mjini hapa, anadaiwa kuuawa usiku wa Mei 25, mwaka 2024 katika Kitongoji cha Pumuani…