Mashirikiano PURA, ALNAFT kuimarisha ufanisi wa utendaji

Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imekutana na kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli ya Nchini Algeria (ALNAFT) kwa lengo la kujadili mashirikiano yatakayowezesha, pamoja na mambo mengine, kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo katika eneo la udhibiti wa shughuli za utafutaji na uzalishaji wa mafuta na…

Read More

Tanzania kinara uwekezaji nchini Kenya

Huenda ikawa ni jambo la kushangaza kwa wengi, lakini ukweli usiopingika ni kwamba Tanzania inaongoza katika uwekezaji nchini Kenya, licha ya kuwa nayo bado inaendelea kutafuta fursa zaidi za kuvutia wawekezaji wa ndani na wa kimataifa ili kukuza uchumi wake. Serikali ya Tanzania imekuwa ikiweka mikakati mbalimbali ya kuboresha mazingira ya biashara, ikiwa ni pamoja…

Read More

Profesa Saffari aibuka, amwonyesha njia Tundu Lissu

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kutangaza nia ya kuwania uenyekiti, mwanasiasa mkongwe, Profesa Abdallah Saffari amesema amefurahishwa na uamuzi huo, lakini amempa tahadhali kuelekea mchakato huo. Amesema kwa uzoefu wake wa siasa za Tanzania, mara nyingi ni vigumu kuwashinda wenyeviti waliopo madarakani kwa sababu mbalimbali, akijitolea…

Read More

RAIS DKT. SAMIA AWASILI MAPUTO NCHINI MSUMBIJI, KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA JAMHURI YA MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Jamhuri ya Msumbiji Balozi Maria Manuela Dos Santos Lucas mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo tarehe 24 Juni, 2025 Maputo, Jamhuri ya Msumbiji ambapo anatarajia kuwa Mgeni…

Read More

Gamondi: Nyie subirini, bado moja

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema walistahili kutwaa taji la Ligi Kuu, huku akisisitiza kwamba kituo kinachofuata ni Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC). Yanga wametwaa ubingwa wakiwa na mechi tatu mkononi baada ya kufikisha pointi 71 ambazo washindani wake Azam FC na Simba hata wakishinda mechi zao zote zilizobaki hawawezi kufikia. Akizungumza na Mwanaspoti,…

Read More

Cake & Ice Cream kasino mtandaoni ushindi x2500.

Hakuna mtu asiyejua utamu wa keki, na utamu huo hupatikana kwa kutengenezwa vizuri na kupambwa kwa Ice Cream bomba ili kuivutia keki, utamu huu unaupata tena Meridianbet Kasino Mtandaoni kwa kucheza mchezo wa Cake and Ice Cream. Cake and Ice Cream ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Red Tiger. Katika mchezo huu,…

Read More

Mgunda afunguka kuhusu Kibu  | Mwanaspoti

BAADA ya minong’ono kuwa mingi kufuatia kukosekana kwa Kibu Denis katika nchezo wa Ligi Kuu Bara ambao Simba imecheza dhidi ya Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Azam Complex leo jioni, kaimu kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi, Juma Mgunda ametoa neno. Mgunda ambaye ameiongoza Simba kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi amesema Kibu…

Read More