
Spika Tulia atoa neno barabara zenye mashimo
Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson ametoa agizo kwa mameneja wa mikoa wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuhakikisha wanatoa taarifa za barabara zinazohitaji matengenezo haraka ili kuepusha ujenzi upya usio wa lazima. Akizungumza leo Jumatatu, Mei 27, 2024, wakati akifungua maonyesho ya sekta ya ujenzi katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Dk…