
Vita vya Gaza vinavyounganisha Uturuki na Misri – DW – 04.09.2024
Kama hii leo ingekuwa ni mwaka 2019, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan wala asingefikiria mara mbili kukutana na Abdel Fattah el-Sissi wa Misri. Kwa mtizamo wake, el-Sissi alikuwa “ni muuaji.” Lakini nyakati za maneno makali zimekwisha. Na Jumatano hii El Sissi alikaribishwa mjini Ankara kwa mara ya kwanza kabisa. “Ndugu badala ya muuaji” Uhusiano wa…