
Coastal: Ikija pesa nzuri tunauza mastaa
BAADA ya kujihakikishia kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, Coastal Union imesema haitakubali kuondokewa kirahisi na nyota wake walioonyesha viwango bora, bali ni kwa maslahi mapana ya timu hiyo. Costal Union inatarajia kushiriki michuano hiyo kufuatia kumaliza katika nafasi ya nne kwenye Ligi Kuu, ambapo itakuwa mara ya pili kucheza kimataifa baada…