
Udom wabuni mfumo kudhibiti madalali wa bei za mazao
Dodoma. Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimeanzisha mfumo wa kisasa wa kurahisisha mnyororo wa ugavi wa mazao kutoka kwa wakulima hadi sokoni kwa kutumia teknolojia ya mtandao (blockchain), utakaosaidia kudhibiti madadali. Mfumo huu unalenga kuondoa changamoto ya soko, ambapo wakulima wamekuwa wakikumbwa na matatizo ya ukosefu wa taarifa sahihi za masoko, bei za mazao kubadilika…