Zimamoto Mbeya wasaka mwili wa mtoto aliyesombwa na mafuriko

Mbeya. Wakati matukio ya watu kusombwa na maji yakiendelea kujirudia mkoani Mbeya, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo limesema linatarajia kuanza kampeni maalumu ya kuwafikia wananchi kutoa elimu ya tahadhari, hususani kipindi hiki cha mvua. Hatua hiyo inakuja baada ya matukio ya watu wawili, akiwamo mtumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Mbarali, idara ya…

Read More

Vijana 308 wapewa Sh7 bilioni kutekeleza miradi ya uvuvi

Mwanza. Vijana 308 waliohitimu mafunzo ya programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT-Uvuvi) wamekabidhiwa Sh7 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha kutekeleza miradi ya ufugaji wa samaki kwa vizimba, ufugaji wa jongoo bahari, kilimo cha mwani pamoja na unenepeshaji wa kaa, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kukabiliana na changamoto ya ajira. Akikabidhi hundi ya…

Read More

‘Harakati ya Haki za Binadamu ya Korea Kaskazini inakabiliwa na shida kubwa tangu ilipoanza miaka ya 1990’ – maswala ya ulimwengu

na Civicus Jumatatu, Septemba 29, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Civicus anajadili nafasi ya Civic ya Korea Kaskazini na Hanna Song, mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Hifadhidata ya Haki za Binadamu za Korea Kaskazini (NKDB). Imewekwa katika Seoul, Korea Kusini, NKDB hati za ukiukwaji wa haki za binadamu huko Korea Kaskazini kupitia ushuhuda kutoka…

Read More

Wagosi wa kaya wapo tayari Bara

KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Ally Ameir amesema kikosi hicho kipo tayari kukabiliana na Tanzania Prisons katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kupigwa Septemba 17, kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga. Pambano hilo la Wagosi wa Kaya waliowahi kuwa mabingwa wa Ligi Kuu (enzi za Ligi Daraja la Kwanza) mwaka 1988, ni…

Read More

CCK YAJIPAMBANUA KUSHIKA,KUZINDUA KIJICHI KESHO

………… Chama cha siasa cha Kijamii CCK kimesema moja ya kipaumbele chake katika kampeni za uchaguzi wa mwaka huu kitaweka mikakati mizuri kwa vijana ikiwemo kuboresha elimu imara itakayomsaidia mtanzania kuweza kujiajiri. Mwenyekiti wa Chama hicho na Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania David Mwaijojele amesema hayo leo wakati akizungumza jijini…

Read More

SERIKALI KUNYOOSHA TARATIBU ZA UFADHILI.

……. Na Carlos Claudio, Dodoma. Serikali imetenga Shilingi bilioni 5 kufadhili wanafunzi 20 wa Shahada ya Uzamili katika fani za Sayansi Takwimu (Data Science), Akili Unde (Artificial Intelligence) na Sayansi Shirikishi kupitia mpango wa Samia Scholarship Extended (SSE DS/AI+), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa taifa kuimarisha rasilimali watu katika teknolojia za kisasa. Wanafunzi 10…

Read More