
Watatu watajwa kuondoka Namungo, Kagere awagawa viongozi
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba na Singida Fountain Gate, Meddie Kagere ni miongoni mwa wachezaji watatu wanaotajwa kwamba huenda wakakatwa wakati wa dirisha lijalo. Inaelezwa kwamba tayari uongozi wa timu hiyo umeanza kusaka mbadala wa wachezaji hao ambapo mbali na Kagere aliyekuwa anaichezea kwa mkopo wa miezi sita, pia kuna Pius Buswita na Derick Mukombozi…