MTATURU AMWAGA NEEMA SHULENI MWAU.

  MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,akimkabidhi cheti mwanafunzi wakati wa mahafali ya Kidato cha Nne shule ta sekondari Mwau iliyopo Kata ya Manginyi ……… MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki mahafali ya Kidato cha Nne shule ta sekondari Mwau iliyopo Kata ya Manginyi na kutoa msaada wa mashine ya kudurufu na Sh.Milioni tatu ya…

Read More

Mmomonyoko wa maadili kilio elimu ya juu

Unguja. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Daniel Mushi, amesema kutokana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili inayowaathiri vijana wa vyuo vikuu, wanapaswa kupewa uelewa wa namna ya kukabiliana na janga hilo. Amesema hayo leo Jumamosi Septemba 27, 2025 akifunga mkutano wa 43 wa Chama cha Washauri Wanafunzi Tanzania (Taccoga1984), uliofanyika…

Read More

Takukuru yazipa siku 90 taasisi 18 kulipa Sh4 bilioni

Mbeya. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imezipa siku 90 taasisi 18 kuwasilisha mafao ya Sh4 bilioni ya wafanyakazi wao. Akizungumza leo Alhamisi Novemba 7, 2024 na waandishi wa habari, Mkuu wa Takukuru mkoani humo, Maghela Ndimbo amesema hadi…

Read More

Sababu vifo vitokanavyo na majengo kuanguka

Mwishoni mwa wiki iliyopita eneo la Kariakoo lenye shughuli nyingi za biashara, kulitokea ajali ya kuanguka kwa jengo la ghorofa nne na kusababisha vifo vya watu takribani 20 na majeruhi zaidi ya 70. Watoa huduma za dharura na uokoaji, vyombo vya ulinzi na usalama, watu wanaojitolea ni moja ya makundi ambayo usiku na mchana waliendelea…

Read More

Wafugaji waitwa kupatiwa chanjo ya kichaa cha mbwa bure

Unguja. Wakati ugonjwa wa kichaa cha mbwa ukitajwa na wataalamu kutokuwa na dawa, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeanza kutoa chanjo ya kichaa cha mbwa bure na kuwataka wamiliki wa wanyama hao kujitokeza kuwachanja ili kuepusha athari zinazoweza kujitokeza. Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo kupitia Idara ya Maendeleo ya Mifugo, imeeleza kuwa itaendelea kutoa…

Read More

Picha: Makamu wa RAIS DKT.Philip Mpango alivyowasili kwenye Uzinduzi wa Samia Infrastructure DSM

Mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akishiriki kwa niaba ya Rais Samia alivyowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City ambako Uzinduzi wa SAMIA INFRASTRUCTURE BOND unafanyika. The post Picha: Makamu wa RAIS DKT.Philip Mpango alivyowasili kwenye Uzinduzi wa Samia Infrastructure DSM first appeared on Millard Ayo.

Read More

Uhaba wa njia za kibinadamu unatishia operesheni ya misaada, onyo rasmi la UN – maswala ya ulimwengu

“Mstari wa mbele unakaribia karibu na uwanja wa ndege wa Kavumu“Alionya Bruno Lemarquis Jumatano. Kufuatia kuanguka kwa mji mkuu wa mkoa wa Goma, kaskazini mwa Kivu, mwishoni mwa Januari, Kikundi cha Silaha cha Rwanda kilichoungwa mkono na M23 sasa kinafanya harakati dhidi ya vikosi vya serikali ya Congelese kuelekea Bukavu, mji mkuu wa Kivu Kusini….

Read More