
DC Kissa awataka madereva kuwa na bima ya vyombo vyao ili kuwa na uhakika wa fidia wanapopata ajali
Mkuu wa wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa amewataka maafisa usafirishaji wilayani humo kuwa wa mfano kukata bima kwa ajili ya vyombo vyao vya usafiri ili kuto weka rehani maisha yao na wanaowategemea kwa kuwa bima itakuwa msaada kwao na wanaowategemea baada ya ajali. DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na madereva wa bajaji ambapo amewataka…