
Jamii yakosa imani usikilizwaji kesi kwa njia ya mtandao, elimu yahitajika
Geita. Wadau wa Mahakama Mkoa wa Geita wamesema licha ya uendeshaji wa Mahakama kwa njia ya mfumo wa teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) kuwa na tija, bado jamii ina uelewa mdogo kuhusu matumizi ya mfumo huo. Kutokana na uelewa huo mdogo wa jamii, wadau hao wameiomba Mahakama kutoa elimu zaidi ili kujenga imani hususan…