
Bingwa Taifa Cup kuvuta Sh 7Milioni
BINGWA wa mashindano ya CRDB Taifa Cup kwa upande wa wanaume na wanawake atazawadiwa kila moja Sh million 7. Hayo yalisemwa na Meneja wa Kanda ya Kati wa beki hiyo, Chabu Mishwaro mjini Dodoma wakati mashindano hayo yakishika kasi kwenye viwanja vya Chinangali, kwa upande wa wanaume na wanawake. Mishwaro alisema, washindi wa pili kwa…