
JKU yabeba tena Ngao ya Jamii Zenji
MABINGWA wa Ligi Kuu Zanzibar, JKU jioni ya leo Jumapili imefanikiwa kutetea tena Ngao ya Jamii baada ya kuinyoosha Chipukizi kwa mwaka 2-0 katika mechi kali iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan, mjini Unguja. Msimu uliopita JKU ilitwaa taji hilo kwa kuifunga KMKM kwa mabao 5-2 katika mechi iliyopigwa Septemba 9 na leo ikikutana tena…