Atandikwa teke na farasi kwenye paredi la Yanga

KILE chenye raha huwa kina karaha yake. Shabiki mmoja wa Yanga amejikuta kwenye maumivu ya muda baada ya kutandikwa teke mgongoni na farasi wa Polisi. Wakati Yanga ikiendelea na msafara wake wa kulitembeza Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Bara, ulipofika eneo la Temeke Chang’ombe pale Chuo Cha ufundi Veta shabiki mmoja akamsogelea farasi wa…

Read More

ACT-Wazalendo yapanga kufumua mikataba, CCM yasema wanatafuta huruma kisiasa

Unguja. Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuna mikataba mingi mibovu inayoigharimu nchi na kwamba kikiingia madarakani mwakani kitahakikisha inafumuliwa na kuweka mipya. Kauli hiyo iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Zanzibar, Ismali Jussa imejibiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kikisema chama hicho hakina uwezo huo, bali kinalenga kupata huruma ya wananchi na kutafuta umaarufu wa kisiasa…

Read More

CCM YAZINDUA KAMPENI UCHAGUZI MDOGO KWAHANI Z’BAR.

 NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR.   NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amewasihi Wananchi wa Jimbo la Kwahani kufanya maamuzi sahihi ya kumchagua mgombea aliyesimamishwa na CCM kwani ndiye mwenye uwezo wa kuendeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/2025 kwa vitendo.   Nasaha hizo amezitoa wakati akizindua kampeni za…

Read More

Fedha zadaiwa chanzo danadana mradi SGR

Dar es Salaam. Hofu  ya kukamilika kwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) inaendelea kupata mashiko, kufuatia kuendelea kushuhudiwa kwa ahadi zisizotimizwa za kukamilishwa utekelezwaji wa vipande mbalimbali vya ujenzi huo. Sambamba na ahadi zisizotimizwa, Mwananchi imeshuhudia wafanyakazi katika kambi mbalimbali wakiondolewa na mkandarasi kwa kile kinachodaiwa kuwa  Serikali haina fedha ya kumlipa kuendelea na…

Read More