
Mwili wa kijana mwenye ualbino wakutwa shambani Morogoro
Morogoro. Mwili wa kijana mwenye ualbino, Rashid Mussa (24), umekutwa katika shamba la mtu asiyejulikana, baada ya kutoweka nyumbani kwake kwa siku tatu. Rashid alitoweka kutoka kijiji cha Kiziwa, Kata ya Kiroka, wilaya ya Morogoro, na mwili wake ulipatikana kwenye shamba hilo, likiwa limetenganishwa na mnazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, Amesema…