
Jurgen Klopp: Anapumzika na hela zake, jamii, bata vinamsubiri
LIVERPOOL, ENGLAND: JURGEN Klopp ameondoka England baada ya kudumu Liverpool kwa misimu tisa na anahitaji kupumzika. Klopp alisema ameushiwa nguvu ya kuendelea na kazi hiyo na sasa anaenda kutuliza akili baada ya kuichosha muda mrefu akisimamia mafanikio ya miamba hiyo Majogoo wa Liverpool na kwa moyo kunjufu klabu nzima na mashabiki wameridhika. Licha ya Liverpool…