
Uzinduzi wa kitabu cha kutawala vifaa vya muziki wafanyika leo
Baraza la Sanaa nchini limewataka Wadau wa Muziki kuzingatia mabadiliko ya Kidigitali kwenye ufanisi wa kazi kwa lengo la kutatua changamoto Katika muziki ikiwa ni pamoja na usikivu wa muziki, afya ya masikio, uharibifu wa vyombo vya muziki, pamoja na kutatua uelewa mdogo juu ya vipimo vya vifaa. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam…