
Straika mpya Simba ambakiza Freddy, ajiaandaa na maisha mapya Msimbazi
Kikosi cha Simba bado kipo jijini Arusha kwa ajili ya pambano la mwisho la Ligi Kuu Bara ili kujua hatma ya ushiriki wa timu hiyo katika mechi za kimataifa msimu ujao kama itaenda Ligi ya Mabingwa au itaangukia Kombe la Shirikisho Afrika, lakini huku nyuma straika mpya aliyebakisha hatua chache kutua Msimbazi amezuia kutemwa kwa Freddy…