Kasi ongezeko maambukizi ya kaswende yashtua

Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameishauri Serikali ipambane na kasi ya ongezeko la magonjwa ya zinaa nchini, huku kaswende ikitikisa zaidi. Kaswende husababisha magonjwa ya moyo, upofu, ugumba, mzio wa ngozi, ganzi mwilini na athari zingine. Kwa mujibu wa wataalamu hao, kaswende inakuwa tishio zaidi kwa kuwa aliyeambukizwa anaweza kuishi na maambukizi hayo hata…

Read More

Kidunda: Ubabe mtaani ulivyompeleka ulingoni

MOJA kati ya stori kubwa ya kichekesho aliyowahi kukutana nayo bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa mabara wa World Boxing Federation ‘WBF’ katika uzani wa Super Middle ni ile aliyowahi kuandikwa na vyombo vya habari nchini kuwa ‘Kidunda adundwa’. Lakini sasa katika upande mwingine wa  kiprotokali katika Serikali ya Tanzania,…

Read More

Singida FG yajipata, Kyombo atakata Kirumba

Mwanza. Baada ya kuwa na matokeo mabaya kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa hatimaye leo wenyeji Singida Fountain Gate wamepata ushindi muhimu huku mshambuliaji wake, Habib Kyombo akitakata kwa kuifungia mabao mawili. Singida ambayo ilikuwa haijapata ushindi kwenye Ligi Kuu Bara tangu ilipoifunga Namungo bao 1-0 Machi 16, mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM…

Read More

Mkutano wa kuujadili usalama wa Ukraine waahirishwa – DW – 09.10.2024

Biden aliifuta safari yake ya Ujerumani Jumanne kutokana na kitisho cha Kimbunga Milton, huko Florida.Taarifa ya Kamandi ya jeshi la Marekani ya Ramstein imesema mkutano uliopangwa kufanyika katika kambi hiyo Oktoba 12 umeahirishwa ingawa haikutoa ufafanuzi kuhusu tarehe mpya ya mkutano huo. Uamuzi wa kuusogeza mbele mkutano huo si wakushangaza kwani umetolewa muda mfupi baada…

Read More

Hatima dhamana ya kada wa Chadema aliyedaiwa kutekwa Agosti 22

Dar es Salaam. Hatima ya dhamana ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, aliyeripotiwa kupotea kabla ya Jeshi la Polisi Tanga, kutangaza kumshikilia siku 29 baadaye, na kisha kumfungulia kesi ya jinai, Kombo Mbwana sasa itajulikana Alhamisi Agosti 22,2024. Mahakama ya Wilaya Tanga siku hiyo itatoa uamuzi wa pingamizi la dhamana…

Read More

REA YAPELEKA UMEME VITONGOJI 120 KIGOMA

Rais Samia ametoa shilingi bilioni 14 kutekeleza mradi huo. *Mradi kupeleka umeme katika vitongoji 15 kwa kila jimbo Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenye majimbo 15 ya Mkoa wa Kigoma ambao utawezesha jumla ya vitongoji 120 kupata umeme wa uhakika utakaowarahisishia kufanya shughuli za kiuchumi na kujenga Taifa. Hayo…

Read More

Baraza la Wafanyakazi Bodi ya Mfuko wa Barabara lapitisha bajeti ya mwaka 2025/26

Na BALTAZAR MASHAKA,MOROGORO  WAJUMBE wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RBF) wamekutana mkoani Morogoro,kujadili na kupitisha bajeti ya bodi ya mfuko huo kwa mwaka wa fedha 2025/26. Mwenyekiti wa Baraza hilo na Mtendaji Mkuu wa RBF,Mhandisi Rashid Kalimbaga,akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo,amesema kuwa bajeti hiyo imezingatia majukumu makubwa ya…

Read More

Hii ndio sababu ya Mahujaji kukusanyika Arafa

Dar es Salaam. Ibada ya Hijja imeanza na leo Mahujaji kutwa nzima wanakusanyika  katika viwanja vya Arafa nje kidogo ya Mji Mtukufu wa Makka nchini Saudi Arabia. Ni viwanja ambavyo miaka zaidi ya miaka 1,400 iliyopita, kiongozi wa Waislamu, Mtume Muhammad (Rehma na amani zimshukie) alitoa kile kiitwacho Hotuba ya Kuaga, iliyokuwa ya mwisho kwake…

Read More